Habari Kali
Loading...

Magazeti Stori za Magazeti ya Tanzania January 15 zilivyosomwa Redioni CloudsFM (+Audio)


Mzee Edward Lowassa amesema anajiandaa kwa uchaguzi 2020, mafuriko yaikumba Mwanza huku mtoto mmoja akifariki…. Tundu Lissu asema viatu vya nafasi ya Dk. Slaa ni vikubwa CHADEMA, CUF wasema wanaheshimu mazungumzo ndio maana wako kimya kuhusu ishu ya Zanzibar.
Jeshi la Polisi latoa mbinu tano za kuepukana na wizi watu wanapotoka kuchukua fedha Benki, Serikali imesema itawanyang’anya viwanda na mashamba kwa walioshindwa kuviendeleza.
Askari Polisi mmoja na watu wengine watatu wafikishwa Mahakamani Dar kwa tuhuma za wizi wa magari, wananchi wa Manyara wampiga Askari na kumpora bunduki kwenye mnada, elimu ya bure ni kaa la moto Dar, walimu wakosekana na vifaa vyaibiwa.. Serikali yaagiza watuhumiwa wa kesi za kuozeshwa mtoto wa miaka 13 wachukuliwe hatua.
Pingamizi la Serikali kupinga kesi ya David Kafulila latupiliwa mbali Mahakamani Tabora.
Stori zote ziko kwenye uchambuzi wa sauti pia kutoka Powerbreakfast Clouds FM.

Magazeti ya Tanzania December 22 2015 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho


Leo December 22 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter na instagram @millardayo ili niwe nakutumia kila kinachonifikia.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top