HAMNAZO? Mastaa wa Bongo
Fleva, Isabela Mpanda ‘Bella’ na Baby Madaha wamenaswa wakifanya
vitendo vichafu maeneo ya Tabata jijini Dar baada ya kupiga masanga ya
kutosha mwilini.
Kwa mujibu wa chanzo, Baby na Bella
walifika maeneo hayo juzikati wakiwa wazima kabisa lakini baada ya
kufakamia pombe kwa kasi ndipo walipoanza kufanya madudu huku mchumba wa
Bella, Luteni Kalama, akiwakimbia na kuwaacha wenyewe.
“Walianza kushikanashikana kama wanasagana,
wakapakatana huku wakiwa na chupa za pombe wakicheza kwa hisia za
kimahaba kama mtu na mtuwe, yani Kalama anatakiwa ajiongeze vinginevyo
mkewe mtarajiwa ataharibikiwa,” kilisema chanzo.
Baada ya paparazi wetu kunasa picha tukio hilo kutoka kwa sosi,
aliwavutia waya wawili hao kwa nyakati tofauti ambapo walisema hawaoni
tatizo katika mambo hayo waliyoyafanya.“Tulikunywa pombe zetu na
hatukuwa na tatizo na mtu yeyote kuna shida gani? Hakuna vitendo vibaya
tulivyofanya kwa sababu hatukugombana na tulikuwa tuko na amani na raha
zetu,” alisema Baby huku Bella naye akitoa maneno yanayofanana kabisa
na hayo ya Baby.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

