Mwakilishi wa wasanii katika Bunge Maalum la Katiba (BMK), Paul Mtenda juzikati alinusurika kifo baada ya gari lake kugongana uso kwa uso na lingine katika eneo la Dumila mkoani Morogoro wakati akirejea jijini Dar es Salaam kutoka Dodoma.
Kutokana na kunusurika huko, Paul alisema alilazimika kufanya maombi maalum kwa ajili ya kumshukuru Mungu kwa kumuepusha na kifo, licha ya gari lake kuharibika vibaya.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

