BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
LINA akiwa amelezwa mara baada ya kujifungua kwa njia ya upasuaji.
LINA MEDINA
LINA
AKIWA NA MTOTO NA MMOJA WA MADAKTARI WALIOMFANYIA UPASUAJI NA
KUJIFUNGUA MTOTO HUYO KATIKA KITANDA CHA WATOTO CHA MATAIRI MANNE.
LINA
Medina aliyezaliwa tarehe 27 Sept. 1933, huko Ticrapo, mkoa wa
Huancavelica, nchini Peru, anatajwa kua Mama mwenye umri mdogo kuwahi
kutokea katika historia ya Ulimwengu.
Tarehe 14 Mei 1939 Lina akiwa na umri wa miaka 5 na miezi 7, alijifungua mtoto wa Kiume aliy
e mpa jina la Gerardo Medina.
Ilianzaje?
Mwanzoni
mwa mwezi Machi 1939 wazazi wa Lina ~ Tiburelo Medina na Victoria Losea
waliamua kumpeleka Hospitali baada ya kuona tumbo likiongezeka kupita
kiasi.
Wazazi wa Lina walidhani huenda ana uvimbe tumboni, lakini madaktari waligundua kua alikua ana ujauzito wa miezi 7.
Dr. Gerardo Lozada aliamua kumpeleka Lina kwa wataalam zaidi nao wakathibitisha kua ni kweli alikua mja mzito.
Alizaaje ?.
Mwezi
mmoja na nusu baada ya kupelekwa hospitali kwa mara ya kwanza, Lina
alijifungua mtoto wa kiume kwa njia ya upasuaji, kutokana na njia yake
ya uzazi kua ndogo.
Upasuaji ulifanywa na Dr. Lozada, Dr. Busalleu, na Dr. Colareta.
Alivunja Ungo lini?.
Dr.
Edmundo Escomel alitoa ripoti kamili juu ya kesi ya Lina kupitia jarida
maalum la maswala ya kiafya na matibabu liitwalo La Presse Médicale.
Ripoti
hii ilibainisha kwamba Lina alianza kupata siku zake tangu akiwa na
umri wa miezi 8, alitofautiana na ripoti ya awali iliyosema kua amekua
akiona siku zake tangu alipokua na umri wa miaka 3.
Ripoti hii
pia ilisema kua Lina alianza kuota maziwa akiwa na umri wa miaka 4,
alipofikisha miaka 5 nyonga yake ilikua imesha tanuka.
Alizaa mtoto gani ?.
Mtoto alizaliwa na uzito wa kilo 2.7 na alipewa jina la daktari wake Gerardo.
Gerardo alilelewa akijua kwamba lina ni dada yake lakini alikuja kujua ukweli akiwa na umri wa miaka 10.
Gerardo
aliendelea kukua akiwa mtoto mwenya afya njema lakini alifariki mwaka
1979 akiwa na miaka 40 kwa ugonjwa wa mifupa ujulikanao kwa jina la
kitaalam la Bone marrow.
Nani Baba wa mtoto ?.
Lina hajawahi kumtaja baba wa mwanae wala mazingira yaliyopelekea yeye kupata mimba.
Dr. Escomel alipendekeza kwamba inawezekana hata Lina mwenyewe alikua hajui, na kusema kuwa hakutoa majibu yanayojitosheleza.
Tuhuma kwa baba mzazi:
Hata
hivyo Baba mzazi wa Lina alikamatwa na kushitakiwa kwa kosa la
Unyanyasaji wa kingono wa mtoto (Child Sexual Abuse) lakini aliachiwa
baadae baada ya kukosekana ushahidi wa kutosheleza.
Na hivyo basi Baba halisi aliyempa mimba Lina hakuwahi kujulikana.
Maisha ya Lina baadae:
Miaka kadhaa baadae Lina aliolewa na Raúl Jurado ambaye mwaka 1972 walipata mtoto wa kiume.
Lina yupo hai mapaka sasa na anaishi maisha ya kimasikini huko Lima nchini Peru
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Filed Under:
MAAJABU
Thursday, 23 October 2014