BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Dear
admin mimi ni mvulana mwenye miaka ishirin na mmoja,nilikuwa na mpenzi
wng ambae nilimpenda sana,akataka nimpeleke paka kwetu kwa wazaz wng.
Nilimpeleka na nika mtambulisha wazaz walifurahi kumuona na walimpenda
sana,mimi na huyo msichana tulikuwa na malengo baada ya mimi kumaliza
chuo tuje tufunge ndoa.baada ya chuo kufunguliwa ilinilazimu mimi
kusafili kuelekea masomoni mkoan ( )siku moja usiku. Nilipga cm yake
ikawa haipokelewi, baadae cm nahc ilijipokea nikasikia yuko na mwanaume
chumbani wakiongea, ilikuwa km majira ya saa saba hv ucku,kesho yake
asubuh na mapema nikampgia nikamuliza aka kanaa,kadri cku zilivyo zidi
kwenda ika fika kipindi akaniambia kwamba nisimpigie cm ucku huwa
analala mapema, nikasema ok sio kes mamaa, baada ya cku km tatu
akanipgia cm akidai kuwa ana ujazito,kwa kwer taarifa hii ilinisitua
sana! Nilimuliza ujauzito huo ni wanani? Ni wa kwangu? Aka niambia hapa
sio wako ni wa mjamaa flan hv yuko bandari na anataka kuniowa,sio siri
nilisikitika sana, nilivyo muliza kwann umeamua kunifanyia hvyo? Akasema
maisha coz naitaji niwe na kwangu na nimeona wewe utachelewa paka
umalize chuo miaka mitatun me nimeshindwa.nikajaribu kubembeleza lkn
wapi, badae nikasema poa kwa kuwa sina jinsi coz n mm ni mwanafunz wa
chuo alie mpata yuko bandali anapga kazi mimi nikamwachia, Mungu, ajabu
baada ya miez mitatu yule mwanamke akanipigia cm akiomba msamahaa
nimsamehe yule alikuwa ni shetani tu anaomba turudiane,kwa kwer ilikuwa
ni vigumu sana kukubali kwa kuwa moyo ulisha change badae nilimuonea
huruma nimwambia ts fine nakupenda na tutakuwa pamoja. Baada ya miez
miwili kupita akanza tena tabia yake na safari hii akaja na mbinu mpya
kbs nakumbuka sku moja alikuja kwangu jion akaondoka kurud kwao tegeta,
baada ya wiki km tatu kupta nikawa nampgia pgia cm usku akawa hapo
kei,nilipo muliza kwann cm yng upokei cku hz ucku? Akaniambia maisha
yamekuwa magumu ckuhz natoka na wezangu tunakuwa bugulun kimboka
tunajiuzaa, he! Nilishtuka xana,nikamuliza kwann ukuniambia mapema km
umeanza tabia chufu hyo,? Akaniambia ndo hvyo kama umeridhika bas
tuendelee kuwa wapenzi nikamwambia poa nimeridhika wala usjar
mama,alipoona njia hyo ime feli kuwachana nami,akatumia njia hii
nakumbuka ilikuwa ni juma tano sikumbuki tar alinipgia cm na kudai hali
yake sio nzur amekwenda kupima maleria kambiwa hana doctor kamwambia aka
chek H.I.V, nikamwambia poa nenda kapima then nijulishe, kesho yake
asubuhi akanipigia akiwa analia kwamba yuko HIV positive. Haa!
Nilishituka! Nikamwambia umeniuwaaa, akasema hapa unakumbuka mara ya
mwisho kuja kwako nikamwambia ndio ni wiki 3 zimepita akasema ndio baada
kutoka kwako that day nilitembea na mzee flan alichana kinga yy ndo
amenipa, kwa haraka haraka cku amin,but me nikamwambia even if
umeathirika mm nko tauari tufe wote kwan hakuna atakae baki,huku
nikiamin anachosema pasipo kujua alikuwa anatafuta mbinu tuachene, bas
ikaenda alivyo ona njia zote zimeshindika akamua kuniambia tena kwa mara
nyingne, j unajua wewe bdo uko chuo kwahyo maisha yamechangia mm
kufanya hv sasa nimepangiwa chumba natimiziwa maitaji yote nayoyataka,
nikachoka sana,mh! Nikasema haya majanga punde si punde nikatumiwa sms
na mtu ambae simfaham ili kuwa inasema hv" nimetambua upendo wako kwake“
nikampgia helo nani mwezangu,akasema mimi ni bwana ake alie kuwa demu
wako kwasasa sio wako nagalamia miyee,nikamchanga mkia kutokana na
ukalim nilio lithi kutoka kwa mama,nikamwimbia niambie ujambo wewe,
akadai yuko offic akitoka atanitafuta, nikamwambia ok, baadae akanipgia,
helow vp mimi naitaj tufamiane zaid, nikamwambia poa nikamuliza uko
whasup,bbm,au mtandao wwte wa kijamii akadai yuko fb nimtafute
nikamtafute tukawa tunachat,mimi nikaona haina haja ya kuendelea kuwa na
huyo mschana nikamua kuachia ngazi tu waendelee wao km umaskin wa
kifadha ipo cku utakwisha kwan mbuyu ulianza km mchicha, au nimekosea
jaman? Nishaurini.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Filed Under:
mapenzi
Thursday, 23 October 2014