BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Habari
mpenzi msomaji wa HABARIZETULEO BLOG..!! Mara nyingi huwa napokea
maswali kuhusu mahusiano ya kishonga, waulizaji huomba niwashauri namna
ya kudumisha mahusiano yao.
Lakini kwa mujibu wa Imani yangu ya Dini sitambui mahusiano ya jinsia moja (Ushoga) hivyo huwa "napoteza" maswali ya kishoga.
Lakini
hili la leo ni tofauti kabisa na kama unauwezo wa kuelewa haraka
utagundua kuwa Dogo kaathirika Kisaikolojia.....hebu msome na jaribu
kumpa ushuri kama vile unamshauri mdogo wako.
PICHA HAIHUSIANI NA MUHUSIKA...JUST KUNOGESHA..
ALINITUMIA EMAIL AMBAYO INASOMEKA HIVI KAMA IFUATAVYO!!
"Habari
yako mwanahabari huru, jina langu ni Damian naishi Iringa na umri wangu
ni miaka 23. Toka nimekuwa na miaka 16 nimekuwa na hisia za kishoga.
Nikakutana na mwanaume mmoja ambaye tukaanza mahusiano ya kishoga japo
hajawahi kuniifila kabisa kwa sababu sipendi na sitaki kuwa shoga kabisa.
Tatizo
ninalopata nakosa hisia kabisa na wasichana kama kuna kipindi
nilitafuta msichana ambae alikuwa hana akili vizuri ili nijaribu kama
nitaweza kutombana lakini dinah nilikuwa naogopa kupita kiasi hadi
nilishindwa kusimamisha!
Niliumia sana na niliporudi nyumbani
nililia na kujiuliza maswali mengi, ilibaki kidogo tu nijiue lakini
niliahirisha kwa kumuonea huruma mama yangu kwani ananipenda sana na
maisha yanaendelea toka hapo sijajaribu tena kuwa na msichana japo
naendelea uhusiano wa romance na yule mwanaume mind u hadi sasa
tukikutana ni kushikana shikana tu, sijawahi kufirwa kwa sababu sitaki
kuwa shoga.
Najiona nisiye na bahati kwa kushindwa kufanya
mapenzi kitu ambacho naambiwa ni raha kupita zote duniani. Najiuliza
kwanini nashindwa kutombana na wasichana au kwa vile nilianza punyeto
toka nina miaka 17 hadi sasa na ni zaidi ya mara 4 kwa wiki je yaweza
kuwa tatizo?
Nasimamisha vizuri tu, Mfano ile asubuhi uume
inadinda hadi inauma hata mida mingine nikimuona demu namtamani na uume
inadinda sasa kwa nilishindwa nishindwe kumuingilia yule msichana?
JE KUNA DAWA ZA KUONGEZA HOMONI ZA KIUME ILI INIONDOLEE HISIA ZA KISHOGA?
JAMANI YEYOTE MWENYE EXPERIENCE YA MAISHA KAMA HAYA ANIAMBIE ALIJITOAJE?
Nitafurahi endapo paparazi huru na wachangiaji ushauri utakaonipelekea kuacha kuogopa wasichana ili niwe mwanaume rijali.
Jamani mwenye mchango hata kama kuniblame ni blame tu najua nitajifunza na itanisadia kitu ili niweze kubadilisha maisha yangu.
Wenu niliekata tamaa na maisha Damian wa Iringa"
Onyo: Tafadhali
mpe ushuri wa kujenga ili aweze kujiamini na ku-face wanawake, kutokana
na maelezo yake ni wazi kuwa sio shoga ila anajishitukia. Miaka 16-25
ni kipindi cha kutambua ujinsia na inaelekea Kijana hajakuwa na Baba (ni
kama vile amelelewa na mama tu kwani hajamzungumzia baba yake hapa),
hii inaweza kuchangia kwa kiasi kikubwa kushindwa kutambua ujinsia wake
na anachokipata kutoka kwa huyo mwanaume ni Father figure zaidi ya
"mpenzi".
Usitoe
mchango wa kuchochea Ushoga kwani hapendi na hataki kuwa hivyo,
vilevile usim-attack, kama huna jinsi ya kumshauri usi-comment.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Filed Under:
Udaku
Thursday, 23 October 2014