STAA
wa muziki wa Bongo fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’, amesema
licha ya kutafuta video zenye kiwango, pia dharau na mapozi ya
watayarishaji wengi wa Tanzania yamechangia kuacha kutengeneza kazi zake
nchini.
Akizungumza
jijini Dar es Salaam juzi kabla ya kwenda nchini Canada, Diamond
alisema mtayarishaji unalipa hela kwanza ndio anakufanyia kazi zako,
lakini watayarishaji wa hapa nchini ukishawalipa, kinachofuata ni usumbufu katika kukamilisha kazi.
“Siwezi
kumlipa mtayarishaji milioni 40 alafu aniletee dharau, hajui hiyo hela
nimeipata vipi. Wengi wao wamekuwa na dharau kama vile wanafanya kazi
bure, ndiyo maana nimekuwa nikifanya kazi nje ya nchi,” alisema Diamond.
Akifafanua zaidi, alisema unaweza ukamweleza mtayarishaji mfike studio saa 12 asubuhi, lakini atakuja saa nne.
“Kwangu hizo ni dharau, kama unaweza kuachana naye, yaani ukishamlipa hela ndiyo kabisa ni mapozi tu,” alisisitiza.
Diamond,
mmoja wa nyota mahiri wa muziki wa Bongo fleva nchini, kwa sasa
anatamba na ngoma yake ya ‘Mdogo mdogo’ aliyoifanyia nchini Afrika
Kusini chini ya mtayarishaji mahiri, Godfather.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >


