‘Beautiful
Onyinye’ na kipenzi cha Diamond, Wema Sepetu sasa ni mjamzito.
Baada ya misukosuko ya muda mrefu ikiwemo kuporwa na wasichana
wenzake penzi lake la Diamond, sasa Wema amepata kile
alichokuwa akikililia kwa muda mrefu….
Chanzo
cha habari hii kutoka kwa marafiki wa Diamond kimedai kuwa
Wema amenasa ujauzito na kugundulika hivyo walipokuwa Afrika
Kusini kwenye tuzo za MTV-MAMA na kumfanya Diamond
achanganyikiwe kwa furaha….
Kwa
mujibu wa chanzo hicho, inadaiwa kuwa Diamond kwa sasa kawa
kama mtu aliyepagawa kwa furaha kutokana na taarifa hizo njema
na tayari ameshaanza maandalizi ya kijacho chake….

Kugundulika kwa ujauzito wa Wema ni baada ya kuanza kujisikia vibaya walipokuwa Afrika Kusini ikiwemo kichefuchefu na kizunguzungu alipokuwa hotelini alipofikia na kulazimika kwenda hospitali kwa uchunguzi zaidi….
Inasemekana kuwa Wema alisindikizwa na Aunt Ezekiel kwenda hospitalini waliyekuwa naye huko Afrika Kusini kumpa sapoti Diamond na madaktari ndiyo waliomjuza kuwa anakiumbe tumboni cha wiki 7
Taarifa za madaktari hao zilimfanya Wema awe kama mwehu aliyepagawa na kurudi hotelini kwa mumewe Diamond huku akiwa na tabasamu ambalo hapo awali Diamond hakuwahi kuliona….
Inasemekana kuwa mpaka sasa siyo Diamond wala Wema aliyewaambia wazazi wake kuhusiana na mimba hiyo zaidi ya watu wa karibu wa wawili hao waliowasindikiza Afrika Kusini.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

