
Mheshimiwa Komba alisema ana watoto tisa wakiwemo wa ndani ya ndoa na nje ya ndoa na wote wamelelewa na mke wake Salome na ndio maana anampenda na kumjali kila siku za maisha yake kwani anastahili kuitwa mwanamke haswa…..
John Komba aliyasema hayo siku chache baada ya kuonekana picha zake mbaya za kimahaba alizopiga akiwa na msichana anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake…..
Katika mahojiano na kipindi cha Mkasi, John Komba aliongelea mambo mengi na kusema kuwa ukiwa kiongozi na mtu mkubwa nchini ni lazima uzushiwe mambo yakiwamo maradhi makubwa na kashfa mbalimbali…..
“Sioni ajabu kuzushiwa mambo ambayo sijayafanya kwani wanamuziki, wanasiasa na hata viongozi mbalimbali wanakutana na mambo ya kuzushiwa kwa kuwa wanajua wakifanya hivyo watawaangusha kutokana na vyeo vyao lakini bado tupo bana,” alisema Komba huku akicheka.
Komba aliendelea kuzungumza kuwa mwaka 2015 utakuwa mwisho wake kuimba na anakusudia kuwarithisha vijana wapya….
Mheshimiwa Komba alihitimisha kwa kusema kuwa katika maisha yake hafikirii suala la kufa kwani kifo kipo tu hata ukifikiria na kukaa kuwaza jambo hilo ni kujitafutia mkosi tu katika maisha yako.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

