Habari Kali
Loading...

UPDATE: Msanii Recho Haule kuzikwa kesho Alhamisi kwenye Makaburi ya Kinondoni.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Recho_Haule
Msanii wa filamu Rachel Haule aliyefariki usiku wa kuamkia jana katika hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam anatarajiwa kuagwa  kesho Alhamis katika viwanja vya Leaders Club na kuzikwa siku hiyohiyo katika makaburi Kinondoni.
Akizungumza na mwanahabari  wetu  jana,  mwenyekiti wa bongomovie Steve Nyerere amesema kuwa bado wapo kwenye mikakati ya kukusanya michango itakayosaidia shughuli hiyo.
12
“Tulikuwa tunachangishana pesa ili kuwezesha suala la msiba,tunashukuru Mungu mambo yameenda salama, suala la kuaga ,tutaaga siku ya alhamisi pale Leaders na baada ya hapo tutaelekea katika makaburi ya Kinondoni kwenda kumzika ndugu yetu, “alisema.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top