Washitakiwa hao watatu waliofikishwa katika mahakamani ni baba mzazi wa mtoto huyo Bw Rashid Mvungi,mama mkubwa wa mtoto huyo Mariam Said na baba baba mlezi wa mtoto huyo ambaye ni mume wa Mariam, Bw Mtonga Omari
Pichani ni baba mlezi wa mtoto huyo Bw Mtonga akitoka mahamakani na kuingizwa mahabusu ya mahakama hiyo kusuburi gari la kumpeleka gerezani akijutia tendo hilo kwa kushika kichwa.
Mwenye shati la Katori ni baba mzazi wa mtoto huyo Bw Mvungi akiingia kwenye chumba hicho cha na mwenye mtandio ni mama mkubwa wa mtoto huyo Bi Mariam
Wazazi na walezi wa mtoto Nasra Mvungi aliyefungiwa ndani ya boksi kwa miaka minne juzi walifikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Morogoro na kusomewa mashtaka yanayo wakabilia ambapo kesi hiyo iliahilishwa hadi Juni 9 mwaka huu ambapo washitakiwa wote walirudishwa lumande kwa kuwa hawakutimiza masharti ya dhamana.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >