Habari Kali
Loading...

Jackline Wolper afunguka kuhusu uhusiano wake na Ney wa mitego….

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Jackline Wolper amefunguka kuhusiana na moja ya shutuma zinazoendelea kumkabili kila anapoamka. Mdada huyo mwenye kujituma sana amefunguka kuhusu shutuma za kumuhusisha yeye na msanii mkali wa Hiphop , Ney wa Mitego. Mwanadada huyo akiongea na Vibe Tanzania alidai hajawahi kuwa hata na number ya Ney wa Mitego sasa akisikia kwamba ana mahusiano na mwana Hiphop huyo anashangaa sana kwani hata hajui maana halisi ya kuzagaa kwa maneno hayo yasiyo na maana wala source.
jackline wolper 
Wolper aliendelea kufunguka kwamba hayuko tayari kusikia uzushi huu ukiendelea na wala hatowaacha wanaosambaza umbea huu kwani hajui nia yao. Msanii huyo amekua akiandamwa na romours moja baada ya nyingine kwani alipewa scandalz ya kusagana kabla haijapotea imeingia ya Ney wa Mitego huku Wolper huyo huyo akihusiswa kuwa na mahusiano na G model.
Credit.Vibe
 

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top