Habari Kali
Loading...

Ngwea atimiza mwaka mmoja leo tangu afariki dunia,ndugu,jamaa na marafiki wamkumbuka…..

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
STAA wa Bongo Fleva, marehemu Albert Mangweha ‘Ngwea’ leo anatarajiwa kufanyiwa shughuli ya kumbukumbu ya kifo chake. Habari kutoka ndani ya familia ya Ngwea zinasema kuwa, shughuli hiyo itafanyika leo Mei 28, nyumbani kwao Morogoro ikiwa ni mwaka mmoja timilifu tangu afariki dunia.Staa wa Bongo Fleva, marehemu Albert Mangweha ‘Ngwea’.
Staa wa Bongo Fleva, marehemu Albert Mangweha ‘Ngwea’.
Ngwea alifariki dunia Mei 28, mwaka jana katika Hospitali ya St. Hellen jijini Johannesburg, Afrika Kusini alipokuwa amelazwa kwa matibabu.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top