Habari Kali
Loading...

Ukatili...!! Mke wa mtu achanwachanwa uso kwa viwembe na jirani yake kisa wivu….!!

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
INASIKITISHA sana! Stela Mbinga ambaye ni mke wa mtu, mkazi wa Tegeta – Kontena jijini Dar amepata balaa kubwa baada ya kuchanwachanwa uso wake kwa viwembe na jirani yake aliyefahamika kwa jina la Zakia Mohamed.

Stella Mbinga akiwa na majeraha ya viwembe.
Stella Mbinga akiwa na majeraha ya viwembe.
Habari kutoka eneo la tukio zinasema kuwa, Zakia na Stella kwa muda mrefu wamekuwa wakiishi maisha ya uhasama na kuringishiana hali iliyojenga chuki miongoni mwao.“Hawa huwa wanashindana kimaisha. Huyu akifanya hivi, mwingine anafanya vile. Cha kushangaza huwa wanatishiana hadi mambo ya vyakula, kwamba nani anakula vizuri zaidi ya mwenzake.
“Sasa juzi Stella alikuwa amekaa kibarazani wanazungumza na shoga yake, Zakia alipita akawakuta wanacheka, hata alipokuwa chumbani wakaendelea na vicheko vyao, akahisi wanamsema na kumcheka yeye, alipotoka akamvaa Stella, kumbe alikuwa na kiwembe, akaanza kumchana bila huruma,” alisema mmoja wa majirani wa wanawake hao.
Wasamaria wema walimpeleka Stella Kituo cha Polisi Tegeta ambapo ilifunguliwa kesi nambari TGT/RB/1969/2014 – Kujeruhi kisha kukimbizwa katika Hospitali ya Mwananyamala ambako alishonwa nyuzi 19 usoni na nane kifuani.
Stella akiuguza majeraha.
Stella akiuguza majeraha.
Akizungumza kwa tabu nyumbani kwake, Stella alisema: “Amenionea tu, hapa sijisikii vizuri. Nahisi kizunguzungu na giza kila ninaposimama, pia siwezi kula vizuri chakula kwani kila ninapotafuna, kichwa kinaniuma sana.”

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top