Bunge
la bajeti linaendelea Dodoma Tanzania ambapo jana May 27 2014 kwenye
kipindi cha maswali na majibu asubuhi, moja ya majibu yaliyotolewa ni
kuhusu uwepo wa mbio za mwenge na gharama zake.
Naibu
waziri wa habari vijana utamaduni na michezo Juma Nkamia amesema
serikali kuu hutenga kiasi cha fedha kulingana na mahitaji na gharama
halisi ya wakati husika ambapo mwaka 2012 jumla ya shilingi milioni mia
sita hamsini (650) zilitengwa kwa ajili ya kuadhimisha uzinduzi na
kilele cha mbio za mwenge wa uhuru na kati ya hizo milioni 450
zilitumiwa na Wizara na milioni 200 zilitumiwa na mkoa uliokua mwenyeji
wa sherehe za kilele
Kuhusu kiasi cha fedha kinachotumiwa na wilaya, ni kwamba zinatofautiana kulingana na michango ya Wananchi katika wilaya husika kwani michango hiyo ni kwa ajili ya miradi ya maendeleo ambayo huzinduliwa wakati ya mbio za mwenge, kwa ujumla mwaka 2012 Wananchi walichangia zaidi ya Bilioni 11 na milioni 500.
Halmashauri za wilaya na manispaa zilichangia shilingi Bilioni 45, Wahisani na watu binafsi walichangia zaidi ya shilingi milioni 52 ambapo faida zinazopatikana kutokana na Mwenge wa Uhuru nchini ni pamoja na kuendelea kutunza historia na falsafa ya ukombozi wa taifa letu, kuhamasisha Wananchi kuhusu umuhimu wa kuendelea kuenzi amani, mshikamano, upendo na zaidi kupambana na ubaguzi wa dini, rangi au ukabila
Mbio za mwenge wa uhuru hutumika kuhimiza miradi mbalimbali kwa njia ya kuweka mawe ya msingi au kuzindua miradi iliyowekewa jiwe la msingi mwaka uliopita na pia kuhamasisha moyo wa Wazalendo na kujitolea kwa vijana hasa kuonyesha umuhimu na nafasi yao katika kudumisha nchi yao, kulinda uhuru na kuleta maendeleo ya nchi yao
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >