Mwigizaji na muongozaji wa bongomovie Dr. Cheni ambaye alianza
kupata umaarufu kwenye fani ya uigizaji na thamthilia za kundi la Kaole
na sasa akiwa anafanya movie zake, 12 May alizushiwa kifo ikiwa
imeunganishwa na ishu yake ya kulazwa hospitali kutokana na homa ya
dengu.Baada ya huo uvumi kusambaa Elizabeth Michael ”Lulu” aliandika
>>> ‘Jamani kuna mambo ya kuzushiana lakini sio kifo, kuna
habari zimezushwa kwamba Dr. Cheni amefariki, ni habari za uongo
jamani…. yuko salama kabisa na juzi ameruhusiwa kutoka hospital na
anaendelea vizuri, tunajua kufa ni wajibu lakini mpaka Mungu mwenyewe
apende….. pole baba angu’
Dr Cheni na yeye aliandika ‘Jamani kifo kipo na hakuna
atakaekwepa ni lazima tutakufa na hakuna atakaebakia ila si vyema
kunizushia, siku yangu itafika tu na wote mtajua lakini si jambo la
busara kunizushia.
hapo juu ni moja ya picha zilizosambaa kwenye internet zikimuonyesha Dr Cheni akiwa hospital
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

