Inasemekana
John, alipigiwa simu na mtu asiyemfahamu akimtaka akamchuke na
kumpeleka Kisarawe II, baada ya maongezi, John alionekana kumfahamu
mteja huyo na kumuahidi kumfuata.
Inasemekana John alikuwa amembeba mama yake mdogo wakitokea hospitali, ambapo alimshusha mama na kumfuata mteja huyo.
Akisimulia
bodaboda mwenziye alisema “John huwa na taratibu za kufika kijiweni
asubuhi (mtaa wa Tungi kwa Matenga ambapo anapaki) lakini siku ya tukio
haikuwa hivyo, jambo lililowashangaza wenzake na mmoja wao akaamua
kumpigia simu lakini iliita pasipo kupokelewa.
“Baada
ya kumtafuta kwa muda bila mafanikio ndipo tukapata taarifa za kuwapo
kijana mmoja aliyekutwa amekufa nje ya mji, ndipo tukaamua kwenda eneo
la tukio na kumkuta ni John’’ alisema kijana huyo.
Aidha
Katekista Millinga, akizungumza katika misa ya kuaga mwili wa marehemu
huyo alisema, “Pengine wauaji wako hapahapa tulipo, sidhani kama wauaji
wanatoka mbali, lakini maandiko yanasema, anayeuwa kwa upanga naye
atauwawa kwa upanga.”
Kamanda
wa Polisi mkoa wa Kipolisi wa Temeke, Engelbert Kiondo amekiri kutokea
kwa tukio hilo na kutaka familia na wanabodaboda wote kuwa wavumilivu
wakati uchunguzi ukiendelea. Aidha, amewataka vijana wa bodaboda kuwa
makini na abiria wanaowakodi,wasivutike na pesa nyingi wanazoahidiwa.
John,
ambaye alikuwa ni kijana mdogo sana kiumri na hata umbo, alikutwa na
mauti siku ya Alhamisi tarehe 8/05/2014 majira ya saa 8 mchana eneo la
Kisarawe II, nje kidogo na Kigamboni. Marehemu alizikwa tarehe
10/05/2014 katika makaburi ya Magogoni-Kigamboni, Dar.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >


