Habari Kali
Loading...

MWANAMKE MWENYE NDEVU ATANGAZWA KUWA MSHINDI...

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Screen Shot 2014-05-13 at 1.04.01 AMMwanamuziki wa Austria Conchita Wurst ambae ana miliki headlines za kuwa Mwanamke mwenye ndevu kama mwanaume ameshinda kwenye mashindano ya muziki barani Ulaya yaitwayo Eurovision Song Contest ambayo yalikua na watazamaji wa TV zaidi ya milioni 120.
Mashindano yalifanyika Copenhagen nchini Denmark mara ya mwisho mwanamuziki kutoka Austria kushinda mashindano hayo ilikuwa mwaka 1966 ukiwa ni mwaka ambao Atletico Madrid ilishinda La Liga na Real Madrid walishinda ubingwa wa Ulaya.
Hiyo inaweza kujitokeza tena mwaka huu kwani Atletico wanakaribia kushinda La Liga na Real ndoto zao ni La Decima. Screen Shot 2014-05-13 at 12.50.06 AM

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top