Habari Kali
Loading...

DEREVA WA GARI LA HOSPITALI AFIA GEST KIOMBOI SINGIDA, PICHA 10 ZA TUKIO HIZI HAPA

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Mashuhuda wakisubiria kuuona mwili wa marehemu ukipakiwa kwenye gari la
polisi.







Hapo ni eneo la tukio kabla watu hawajajaa.


Gari la Polisi lilipofika katika eneo la tukio




Baadhi ya mashuhuda waliofika katika eneo la tukio





TUKIO hili la kusikitisha lilitokea jana majira ya saa kumi na moja jioni katika Gest moja iitwayo TOP LIFE mkabala na shule ya Kiomboi Bomani mkoani Singida.

Mwili wa marehemu ambaye alikuwa ni dereva wa Gari la Hospital ya wilaya ya Iramba, Jina limehifadhiwa.

Mwili ulikutwa ukiwa umevimba ukiwa nusu utupu na pensi tu, Nguo zingine hazikujulikana zilipo.

Aidha iligundulika kuwa Dereva huyo alifariki siku mbili nyuma maana alikuwa akitafutwa na waajiri wake wa kazi bila mafanikio.

Wahudumu wa Gest hiyo walidai kuwa mlango ulifungwa na kufuli kwa nje wakawa na matumaini kuwa marehemu angerudi.

UZEMBE
Polisi walipodai daftari la wageni hawakuweza kuliona jina la marehemu, Kitu ambacho kilidhihirisha kuwa marehemu aliingia humo katika Gest hiyo kuchetua mda mchache tu (Shot Time) yani good time na sio kulala.
Imeripotiwa na David Mtengile Singida.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top