Habari Kali
Loading...

Picha 6 za Mjengo wa Madee kwa ndani na ulipofikia sasa hivi.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== > Image00006Hit Maker wa Pombe Yangu na Tema Mate Tuwachape leo ametoa Exclusive picha kupitia kuhusu mjengo wake ambao ipo Mbezi ya Kimara  eneo la Kimara Mwisho ambalo kwa maelezo ya Madee mwenyewe amesema nyumba hii imechukua kama miaka 5 mpaka kuimaliza.
Kwa sasa nyumba hii imemalizika na anaishi mlinzi tu na ni nyumba ya vyumba 4 Dinning na Sitting Room kuhusu Gharama kamili ya mjengo huu Madee amesema hana kumbukumbu kamili ingawa kwa haraka haraka amedai ni kama Milion 100 za Kitanzania.
Image00005
Image00001
Image00004
Image00003

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top