Habari Kali
Loading...

Anti Lulu: "Najuta kumvulia nguo Amani, sikujua kama ana wivu mkubwa kiasi hiki"

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

MSANII   wa  filamu  Bongo,Lulu Semagongo  'Aunty Lulu'  anadai  kuwa  anajuta  kumvulia  nguo  mwandani  wake  aliyemtaja  kwa  jina  la  Amani  ambaye  hivi  karibuni  alimshushia  kipigo  kikali  baada  ya  kutaka  kwenda  kujirusha  usiku  kwenye  kumbi  za  starehe....

Akizungumza  na  Mpekuzi  wetu,Aunty  Lulu  alisema  katika  siku  ya  tukio  ni  kweli  alitaka  kwenda  kupata  raha  mwenyewe  kwenye  moja  ya  klabu  za  starehe  usiku  na  alimpa  taarifa  jamaa  yake  huyo  lakini  akamgomea  kwenda  kwani  alihisi  angeenda  kumsaliti....
Msanii  huyo  aliendelea  kusema  kuwa jamaa  yake  huyo  ana  wivu  balaa  na  hilo  limekuwa  likimpa  shida  kwani  wakati  mwingine  anashindwa  kuongea  na  wanaume  ambao  mpenzi  wake  hawafahamu  maana  huwa  anahisi  ni  hawala  zake....

"Najuta  kumpa  penzi  Amani  kwani  sikujua    ana  wivu    mkubwa  kiasi  hiki,hataki  kunipa  uhuru  wa  kwenda  kujirusha kama  ilivyokuwa  siku  za  awali.Si  kweli  kwaba  nikienda  kwenye  kumbi  za  starehe  naweza  kumsaliti  kwani  binafsi  huwa  sipendi  kuchanganya  wanaume"Alisema  msanii huyo

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top