LILE penzi
la msanii wa filamu na mtangazaji, Lulu Mathias na mchezaji mpira wa
zamani, Amani limesambaratika baada ya hivi karibuni mwanaume huyo
kuondoka na kilicho chake huku akimwacha mwanadada huyo ndani ya nyumba
peke yake.
Chanzo
chetu makini kilisema kuwa, tukio hilo lilitokea hivi karibuni huko
Majohe walipokuwa wakiishi wawili hao ambapo mwanaume huyo aliamua
kuondoka na kurudi nyumbani kwao na kumuacha Aunty Lulu ndani ya nyumba
hiyo waliyokuwa wamepanga.
Msanii wa filamu za Kibongo Lulu Mathias.
Baada ya kuzipata habari hizo, paparazi wetu alimtafuta Aunty Lulu, akafunguka:
“Ukweli mimi na Amani tumeachana kwani kipigo kimenizidi kila kukicha isitoshe ndugu zake hawanipendi, nimebaki peke yangu kwenye nyumba tuliyokuwa tumepanga huku Majohe na yeye ameondoka na vitu vyake vyote, amerudi kwao.”
“Ukweli mimi na Amani tumeachana kwani kipigo kimenizidi kila kukicha isitoshe ndugu zake hawanipendi, nimebaki peke yangu kwenye nyumba tuliyokuwa tumepanga huku Majohe na yeye ameondoka na vitu vyake vyote, amerudi kwao.”
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >