RAIS wa
Bendi ya Mashujaa Musica, Charles Gabriel ‘Chaz Baba’ amefunguka kuwa
mwigizaji Husna Idd ‘Sajent’ hakustahili kuwa mkewe licha ya kwamba
walizaa naye mtoto mmoja.
Akizungumza na Global TV Online hivi karibuni, Chaz Baba alisema Sajent ni mwanamke mzuri lakini hana vigezo vya kuolewa na yeye kwani wote ni maarufu.
Akizungumza na Global TV Online hivi karibuni, Chaz Baba alisema Sajent ni mwanamke mzuri lakini hana vigezo vya kuolewa na yeye kwani wote ni maarufu.
Rais wa Bendi ya Mashujaa Musica, Charles Gabriel ‘Chaz Baba’ akizungumza na Global TV Online.
“Nilikuwa nampenda sana Sajent ila nilishindwa kumuoa kutokana na umaarufu wake ambao ulimnyima sifa ya kuolewa na mimi maana wote ni mastaa ingekuwa shida huko mbeleni,” alisema Chaz Baba.
Mbali na hilo, Chaz alifunguka mengi ambayo yatarushwa kupitia Global TV Online hivi karibuni ndani ya mtandao wa www. globalpublishers. com.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >