BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Mimi
ni mama wa watoto wawili, nimefunga ndoa miaka saba iliyopita, mwanzo
kabisa maisha yangu ya mahusiano hayakuwa mazuri hata kidogo, first of
all niliwahi kubakwa nikiwa na umri wa miaka 15, baada ya hapo niliishi
maisha ya tabu sana mpaka nilipokuwa mkubwa na kuweza kujitambua.

Nillianza
maisha ya mahusiano nikiwa na miaka 21 na mwanaume niliyetokea kumpenda
na kuamini yeye ndio atakayenifuta machozi na huzuni zangu.
Mambo
hayakuwa hivyo kwani miaka miatatu ya mahusiano yetu alienda oversizi
na kuniacha na pia kuamua kukata mawasiliano kabisa. Nilibaki na kovu na
maumivu niliyokosa tiba. Nilimtafuta bila mafanikio na kuamua kumove on
na maisha yangu,ingawa ilikuwa ni ngumu sana.
Baada
ya hapo nilikutana na mwamaume ambaye sikujua kama ni kweli nampenda
kwani siku zote nilipokuwa nae nilikuwa namuwaza X wangu aliyeniacha
bila kusema neno lolote.
Mwanaume
huyu mwanzo sikumuelewa kabisa kwanza alikuwa mgomvi na mkorofi kwa
watu dakika mbili alishabadirika haeleweki kama kinyonga ,police kwake
ilikuwa ni kama nyumbani.
Nyimbo
zake mara nyingi zilikuwa ni za kina Tupac ,Snopy D na wale aina ya
magang star Ingawa alikuwa msomi na kazi nzuri,na maisha yake mpaka sasa
bado miziki yake ndio hiyo ,starehe kwake hataki kuacha wala kupunguza.
Niliamini
atabadilika ingawa nilikuwa nakwazika sana kuwa nae alinifundisha
kunywa Pombe ,Ok nikawa mnywaji mzuri na ili niwe nae Kimapenzi niliona
ninywe kwanza ndio nakuwa huru na hayo ndio yakawa maisha
yangu..Tuliendelea na mahusiano ya muda mrefu hatimaye nilianza
kumzoealakini si kumpenda ,
Tukiwa
tayari ndani ya mahusiano nilishika mimba na tukakubaliana kuanza kukaa
pamoja ,taratibu za mahali zilifanyika na nikahama rasmi lakini kwa
sababu jamaa alikuwa mtu wa starehe alikuwa akiniacha na kurudi usiku wa
manane amelewa mara anitukane na sikuona kama alikuwa ananithamini na
hali yangu ya ujauzito chuki moyoni ikawa inazidi siku hadi siku.
Ingawa
kuna wakati nilikuwa naona kama ananipenda .Baada ya kujifungua
tulianza taratibu za ndoa lakini moyoni mwangu nikijua kabisa mwanaume
huyu sina mapenzi nae hata kidogo.Na nilikuwa najiuliza kwanini nafunga
ndoa?
Ingawa
kuna vitu vingine vilikuwa kama najifosi kufanya. Tulifunga ndoa
takatifu nakuanza kuishi kama mke na mme ,na mungu akatujaalia kuongeza
mtoto mwingine wa kiume lakini system yangu ni mpaka ninywe ndio nakuwa
na hisia za kuwa na mme wangu.
Ndani
ya ndoa yangu nimekuwa nikiishi kwa kujifanya nampenda mme wangu ingawa
hizo hisia sijawahi kuzipata hata kidogo ,nimekuwa nikilia na kujutia
maamuzi yangu sina furaha ,ni mnyonge ,for the sake of my kids ndio
napata faraja kidogo.
Kila
siku zinavyoenda nazidi kuchanganyikiwa mwenzenu nitaishi hivi mpaka
lini nifanye nini ili nipate amani ya roho,? maana hii pretend sasa
imenichosha. Nakosa usingizi usiku kucha.
Ni mengi ya kuelezea lakini kwa hapa moyo wangu unazidi kuwa mnyonge
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Filed Under:
mapenzi
Wednesday, 5 November 2014