MWANAMUZIKI wa Injili kutoka Kenya, Solomon Mukubwa anatarajiwa kulipamba tamasha kubwa la Hakuna Mwanamke Mbaya litakalofanyika kesho Jumapili katika Kanisa la Lutherani, Mabibo-External jijini Dar.
Akizungumza na mtandao huu, katibu wa Chama cha Waimba Injili nchini, Stella Joel, alisema lengo la tamasha hilo ni kuzindua wimbo wake wa Hakuna Mwanamke Mbaya ambao amemshirikisha Rose Mhando na wanatarajia kuwa na waimbaji mbalimbali huku mgeni rasmi akiwa ni Mbunge wa Igunga, Dkt. Dalali Kafumu.
“Watakuwepo Solomon Mkubwa, Martha Mwaipaja, Ado Novemba, Edson Mwasabwite, Martha Mlata na wengine wengi kuanzia saa nane mchana na kuendelea,” alisema Stella.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

