Habari Kali
Loading...

SITTI MTEMVU ALIVYOTWAA TAJI LA MISS TANZANIA 2014

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
MREMBO Sitti Mtemvu aliyekuwa Miss Temeke 2014, Oktoba 11, 2014 aliibuka kidedea katika fainali za shindano la Miss Tanzania 2014 na kujinyakulia taji hilo sambamba na shilingi milioni 18.
Katika shindano hilo lililofanyika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, nafasi ya pili ilikwenda kwa Lilian Kamazima ambaye alijishindia shilingi milioni 6 huku nafasi ya tatu ikichukuliwa na Jihan Dimachk.
Dorice Mollel alishika nafasi ya nne wakati Nasreen Abdul akichukua nafasi ya tano.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top