Habari Kali
Loading...

RIYAMA, ROSE WAMPA WAKATI MGUMU JB

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Stori: Mayasa Mariwata
OHOOOO! Wasanii wa filamu Bongo, Riyama Ally na Rose Ndauka wamemkomalia msanii mwenzao, Jacob Steven ‘JB’ akate mauno mbele ya hadhara kitendo ambacho kilimshinda msanii huyo mwenye ‘weight’ ya kutosha.
Wasanii wa filamu Bongo, Riyama Ally na Rose Ndauka wakimtaka msanii mwenzao, Jacob Steven ‘JB’ akate mauno mbele ya hadhara.
Tukio hilo lilijiri mwishoni wa wiki iliyopita maeneo ya Mwananyamala jijini Dar kulipokuwa na sherehe ya bethidei ya mtangazaji wa kituo cha Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’ ambapo wasanii hao walimkomalia JB atoe shoo akawagomea kwa kisingizio cha kuokoka.
Rose Ndauka akikata mauno 'JB', huku Riyama akimkomalia 'JB' acheze. 
“Jamani sasa mbona mnanilazimisha hivi, nyie watoto acheni kunikomalia au mmeshalewa? Mimi siwezi kucheza bwana sasa hivi nimeokoka,”alisema JB jambo ambalo liliwafanya wanadada hao kuishiwa pozi pamoja na kumshawishi kwa muda mrefu.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top