AKANUSHA! Baada ya tetesi kuzagaa kuwa aliyekuwa Miss Progress International, Julieth William kuwa ana mtoto mchanga, mwenyewe ameibuka na kufunguka kwamba habari hizo ni za kizushi.
Akipiga stori na paparazi wetu, Julieth alisema anashangazwa na maneno hayo ya watu kwamba ana mtoto wakati hajawahi kuzaa hivyo anaumizwa sana na tetesi hizo.
“Sijawahi kuzaa jamani nawashangaa wanaoeneza habari kwamba nina mtoto, mara nyingi nakuwa na watoto wa ndugu zangu hata hivi karibuni nilikuwa na mtoto mchanga maeneo ya Mlimani City, naumizwa sana na habari hizi za uongo,”alisema Julieth.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

