UKATILI! Watu wasiojulikana wameyakatisha maisha ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Tawi la Mkwajuni, Kigamboni jijini Dar, Ibrahim Hamis (30).Tukio hilo la kusikitisha na lililowaacha midomo wazi wakazi wa eneo hilo, lilijiri usiku wa saa mbili hivi karibuni.
Alisema baada ya kumfikisha mtu huyo eneo
linaloitwa Mkorea, akiwa anarudi alitekwa na watu wasiojulikana na
kumpotezea uhai kwa kumteka na kumuua kwa kumpiga na kitu kizito
kichwani kisha kuchukua pikipiki yake na kutokomea kusikojulikana.
Bindo ambaye ni mjumbe wa shina huko
Kigamboni aliongeza kuwa eneo alilofanyiwa ukatili marehemu lina hali
mbaya kiusalama maana ni porini hasa kwa nyakati za usiku ni tatizo kwa
wapita kwa miguu.
Katika msiba huo, diwani wa eneo hilo kupitia CCM, Suleiman Methew Luwongo alilaani vikali mauaji hayo ambayo yamekatisha uhai wa kiongozi huyo na kuiacha familia yake ikiwa haina cha kufanya.
Katika msiba huo, diwani wa eneo hilo kupitia CCM, Suleiman Methew Luwongo alilaani vikali mauaji hayo ambayo yamekatisha uhai wa kiongozi huyo na kuiacha familia yake ikiwa haina cha kufanya.
Aidha, aliomba eneo hilo ambalo hadi sasa
limekaa kama pori wagawiwe watu ili waweze kuliendeleza kuliko maeneo
hayo kutumika katika uporaji na mauaji kwa watu.‘’Ninaiomba serikali
kupitia wizara husika kulifanyia utaratibu lile eneo ikiwa ni
kulimilikisha kwa wakazi wa huko ili liendelezwe,’’ alisema kiongozi
huyo.
Kwa upande wake, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, ACP Kihenya wa
Kihenya alitihibitisha kutokea kwa tukio hilo na akasema zoezi la
kuwasaka watuhumiwa linaendelea.Marehemu alizikwa Oktoba 12, mwaka huu
katika Makaburi ya Vijibweni, Kigamboni jijini Dar es Salaam.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

