BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Hivi
karibuni msichana wako ameamua kuachana na wewe au labada wewe ndie
uliyeamua kumuacha naye ila baada ya maamuzi hayo kupita na kufanyika,
moyoni unahisi upendo wako juu yake bado umeutawala moyo wako na bado
anaumiliki tena kwa sehemu kubwa sana na hauko tayari kumwachia aende
kwa kuwa umeshaona wazi ya kuwa maamuzi uliyoyafanya au yaliofanyika
yana makosa makubwa.

Zee
La Udaku imekuandalia njia itakayokusaidia kurudisha muda nyuma na kuwa
naye tena, kukurudishia yule mmoja umpendae ambaye juu yake ndio moyo
wako unapokamilika, njia hii itategemeana sana na hali ya mwenza wako
mlieachana na jinsi anavyojisikia juu yako kwa kile ulichotenda au
kumtendea.
#1; Yatambue makosa.
Unaweza fikiria
unachofikiria kichwani mwako ila lazima huyo msichana atataka kujua ni
nini kilichosababisha wewe kubadilika, wanawake wa karne ya digitali
huitaji majibu ya sababu sababishi ya kile kilichokusababisha ubadilike
kiasi cha huo uwamuzi kufanyika, uwe umesababisha wewe au yeye majibu
yanatakiwa, na mwelezee kwa umakini utafanya nini ili kuibadilisha hio
hali na kumpa mikakati thabidi na kumuonyesha nia ya kuyatatua hayo
matatizo.
#2; Omba msamaha na onyesha hisia ya kuwa unamaanisha.
Wanaume
wengine hujiona ngangali na kuona hali ya kuomba msamaha ni kujishusha,
na inawezekana kabisa alishawahi kukutana hio hali kwenye uhusiano
uliopita, muonyeshe una nia ya kubadilika badala ya kujielezea na kuomba
msamaha, muonyeshe nia yako kwa matendo, kama ulikuwa unachelewa
kupokea simu zake badilika wewe ndo uwe wa kwanza kumtafuta.
#3; Mpe muda.
Mpe
muda wa kufanya maamuzi yake, maamuzi makubwa kama hayo huwa yanachukua
muda kuamuliwa, usiwe na haraka ya kutegemea majibu hapo hapo, kama
kweli unamuhitaji mpe muda wa kufanya maamuzi yake mwenyewe iwapo
anataka kuwa na wewe au la, inaweza kumchukua sikua au hata wiki mpaka
aweze kukuamini tena na kukukabidhi moyo wake, kuwa mvumilivu na
usikurupuke na kulazimisha mambo kwani itakuweka mahali pabaya zaidi ya
ulipokuwa.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Filed Under:
mapenzi
Thursday, 16 October 2014