BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

ANAOMBA USHAURI:
Mimi
ni kijana wa miaka 29. Baada ya maisha kunipiga kwa muda mrefu kutokana
na kutokuwa na msaada wa familia na kutokuwa na kazi na kuishia kuwa
'mishen town' tu, miaka mitatu iliyopita nilimpata mama mmoja wa miaka
45 (sasa ana miaka 48) ambaye alikuwa mjane ila mambo safi (hela anazo).
Mapenzi
yakanoga kiasi tukaamua kufunga ndoa. Ndoa yetu haikuhusisha watu wengi
sana zaidi ya marafiki wachache tu, hata familia zetu hazikuhusishwa
kutokana na hali yenyew e (kijana anaoa
jimama). Huyu mama ana binti mwenye miaka 24 kwa sasa. Kifamilia, huyo
ni binti yangu kwa kuwa mimi ni mume wa mama yake.
Kilichonitatiza
sasa ni hiki: Miezi kadhaa iliyopita, binti amekuja kutuambia kuwa
amepata mwanaume anayempenda wa kumuoa na kwa kuwa vijana wa siku hizi
ni wasumbufu kwenye mapenzi wakiwa na vijana wenzao, amemkubali mwanaume
huyo japo ni mtu mzima sana (anakaribia miaka 60). Kwa kuangalia hali
yetu (mimi ni kijana na mama yake anaelekea uzee), tulishindwa
kumkatalia.
Basi siku ikapangwa mwanaume aje kujitambulisha ili
process nyingine zifuatwe. Kilichonishtusha sana siku ilipofika:
Mwanaume huyo ni baba yangu mzazi ambaye kwa sasa anaishi mwenyewe kwa
kuwa mama yetu alifariki miaka 10 hivi iliyopita. Baba yangu amekuwa
akiishi mwenyewe tu, na kwa kuwa kipato chake kwa muda mrefu kilikuwa ni
cha chini, hatukuwa na ukaribu sana kwani kila mmoja alikuwa anatafuta
kivyake. Hata huyu mama (mke wangu) hajawahi kukutana naye Najiuliza:
Niipinge hii ndoa? Kwa kuwa kama wakikubaliana kufunga ndoa, basi
nitakuwa baba mkwe wa baba yangu mzazi. Na pia huyu binti mbali ya kuwa
ni binti yangu (kwa huyu mama yake), pia atakuwa mama yangu (kwa baba
yangu mzazi). Vipi wakizaa mtoto, nitamuitaje, mdogo wangu au mjukuu
wangu?
Nimechanganyikiwa sijielewi, tafadhali naomba ushauri wenu!
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Filed Under:
mapenzi
Monday, 27 October 2014