Habari Kali
Loading...

MISS TANZANIA KUFANYIKA LEO MLIMANI CITY DAR

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

30 - Naba Magambo from Ruvuma 21 Vibe 29 - JIHAN DIMACH from Ilala Vibe 28 - JUNES NDALIMA 22 YEARS HIGHER LEARNING USTAWI WA JAMII Vibe 27 - QUEEN LATIFAH HASHIM From Kinondoni Vibe 26 - HAPPINESS SOSTHENUS 21 YEARS ILALA 25 - LILLIAN TIMOTHY 23 YEARS HIGHER LEARNING (IFM) 24 24 - CAMILLA JOHN 19 YEARS KINONDONI 23 23 - DOREEN ROBERT 20 YEARS MWANZA 22- DOREEN BENNE 22 YEARS KINONDONI 21 - MARY EMMANUEL 20 YEARS SHINYANGA 
SHINDANO la kumsaka mrembo wa Tanzania linatarajiwa kufanyika leo, ndani ya Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, ikiwa ni ruhusa kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kutupilia mbali pingamizi la mashindano hayo lililowasilishwa mahakamani na mmoja wa waanzilishi wa Miss Tanzania, Prashant Patel.
20- NICOLE SARAKIKIA 21 YEARS SHINYANGA 18 NIDAH KATUNZI 20 YEARS MTWARA 18 - NIDAH KATUNZI 20 YEARS MTWARA 17 HAPPINESS SAMUEL 20 YEARS KILIMANJARO 16 - SABINA THOMAS 18 YEARS ILALA 14 MARIA SHAIBU 20 YEARS OPEN UNIVERSITY OF DSM 11 RACHAEL CLAVEL 20 YEARS GEITA 10 SITTI MTEMVU 23 YEARS TEMEKE 5 4 SALAMA SALEHE 21 YEARS TEMEKE 3 NASREEN ABDUL 22 YEARS ILALA 1 - LILIAN DEUS 18 YEARS OLD ARUSHA
Shindano hilo litashirikisha warembo zaidi ya 20 ambapo watachuana jukwaani kuwania nafasi ya kwanza na mshindi kuibuka na kitita cha Sh. Mil 18.
Mshindi wa pili anatarajia kuondoka na kitita cha Sh. Mil 6 huku wa tatu akizawadiwa Sh. Mil. 4.2, wa nne (Sh. Mil. 3.2), wa tano (Sh. Mil. 2.2) na washindi wa sita hadi 15 wakiondoka na Sh. Mil. 1.2 kila mmoja na watakaosalia, watapewa kifuta jasho cha Sh. 700,000.
“Nawaomba wapenzi wa Miss Tanzania waje kwa wingi maana ratiba itaenda kama ilivyokuwa imepangwa,” alisema Bosco Majaliwa, katibu wa mashindano hayo.
Mwaka jana mashindano yalifana ambapo yalishirikisha warembo mbalimbali kutoka kwenye mikoa ya Tanzania ambapo mshiriki Happiness Watimanywa aliibuka kidedea na kukabidhiwa zawadi ya gari aina Toyota IST.
Mashindano haya yatapambwa na na wasanii wa muziki wa kizazi kipya, Ommy Dimpoz, Vanessa Mdee, wakati Naibu wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, Juma Nkamia atakuwa mgeni rasmi.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top