Habari Kali
Loading...

Maximo awaandaa Msuva, Ngassa kuwamaliza Simba

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >


Kocha Mkuu wa Yanga, Mbrazil, Marcio Maximo.
Goodluck Ngai na Nassor Gallu
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbrazil, Marcio Maximo, amewaandaa viungo washambuliaji Mrisho Ngassa na Simon Msuva kuwa ndiyo chachu kubwa ya ushindi wake dhidi ya watani wao wa jadi Simba, katika mchezo wao wa Oktoba 18, kwenye Uwanja wa Taifa.
Simba na Yanga watakutana katika mchezo wa raundi ya nne wa Ligi Kuu Bara, huku zikiwa na kumbukumbu ya sare ya bao 1-1, katika mchezo wao wa mwisho wa ligi hiyo walipokutana katika uwanja huo msimu uliopita.
Katika mazoezi ya Yanga ambayo yanafanyika kwenye Uwanja wa Boko Veterani uliopo Boko nje kidogo ya Jiji la Dar, Maximo ameonyesha kuwatumia zaidi viungo wake hao wenye kasi  kupiga mipira ya krosi kwenda kwa washambuliaji wake wanaoongozwa na Mbrazili, Geilson Santos ‘Jaja’ na kuwapa kazi rahisi ya kupachika mipira wavuni.
Katika mazoezi hayo ya jana asubuhi, Maximo alitumia muda mwingi kuwapa viungo hao mazoezi maalum ya kupiga krosi zitakazoleta madhara katika lango la wapinzani wao huku akiwataka washambuliaji kuzitumia vizuri krosi hizo.
Mbali na Msuva na Ngassa waliolifanya zoezi hilo kwa muda mrefu na kwa ufasaha mkubwa, Maximo aliwatumia pia wachezaji wengine katika zoezi hilo ili nao pia wapatapo nafasi ya kupiga krosi wapige zenye madhara. Wachezaji waliofanya zoezi hilo ni pamoja na Andrey Coutinho, Nizar Khalfan, Hussein Javu na beki Edward Charles.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top