Habari Kali
Loading...

MASTAA WAIPONGEZA RASIMU YA KATIBA MPYA

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >


Stori: Deogratius Mongela
Wasanii mbalimbali wa filamu Bongo wameipongeza Rasimu ya Katiba Mpya iliyokabidhiwa hivi karibuni kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, mjini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar Ali Muhammed Shein wakiwa na Rasimu ya Katiba Mpya waliyokabidhiwa hivi karibuni, mjini Dodoma.
Wakizungumza na paparazi wetu kwa nyakati tofauti, wasanii hao walisema katiba ya sasa imeleta mapinduzi makubwa  katika tasnia ya filamu hapa nchini kwa kuweka vipengele ambavyo vimewathamini.
“Kwetu ni jambo kubwa kuona serikali yetu imeanza kutambua mchango wetu kwa kuweka vipengele katika Rasimu Mpya ya Katiba hii inaonyesha ni jinsi gani tutaweza kupata mafanikio pia itatuwezesha kupambana na wezi wa kazi zetu na kutuongezea kipato,” alisema Flora Mvungi, mmoja wa wasanii hao.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top