BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
''Inavyoonyesha
na jinsi ilivyo wanawake huwa wanasema kitu fulani harafu hujikuta
wakifanya kitu kingine, vitendo vyao husaliti maneno yao na ndiyo kero
kubwa namba moja wanayoikabiri na kuilalamikia wanaume na iwapo ukiwa na
uwelewa juu ya hili jambo, litakusaidia kuwa na urahisi zaidi kwenye
mchezo wa utongozaji na kuwaelewa hawa viumbe kwa ujumla."
Sababu
kubwa inayoleta na kusababisha hamu ya kuwaelewa na kujua kile
kinachoendelea kwenye vichwa vya hawa viumbe wa kike wanawake ni sababu
rahisi sana; Yule ambaye ataelewa utendaji kazi wa akili za wanawake
atakuwa huru kutokana na madhara yatokanayo na mazungumzo nao kama vile
hofu ya kukataliwa, hofu ya kuachwa, kutoelewana nao, kuumizwa hisia,
kutegwa na kinyongo.
Baada
ya miaka elfu moja ya wanaume kutowaelewa wanawake,
waulizewanaumeimeweza kukata utepe na kupata ufafanuzi kwanini ni vigumu
sana kuwaelewa wanawake, ufafanuzi wake hata hivyo siyo mgumu sana,
wanawake wanafanana na wanaume kuliko tulivyokuwa tunadhania ila
wanatofauti kuu moja inayoleta kasoro kubwa.
Wanawake
ni waathirika wa homoni yao kubwa ya Oestrogen ambayo inawafanya wawe
na maamuzi ya kutumia hisia zao kuliko viumbe wowote waelewa na hasa
yakiwa yanahusika mambo ya kuugusa moyo, siri ya kuwaelewa wanawake na
tabia zao zisizoeleweka ni kitu kimoja kikubwa kinachotengeneza fikra
zake - Hisia zao.
Hii
inaweza kuonyesha jinsi mama anavyopata mshituko mkubwa akiona mtoto
ameumia kuliko baba, kwa mfano mama akimkuta mtoto yupo chini ameumia,
kimbilio lake la kwanza ni kuuliza nini kimetokea wakati baba akifika
kimbilio lake la kwanza ni kumpeleka mtoto hosipitalini.
Kwanini
tofauti?, kwa sababu baba mshituko wake wa kwanza ni kumpeleka mtoto
hosipitalini harafu kuuliza maswali mengine baadae lakini mama kutokana
na kuendeshwa na hisia zinampelekea kutafuta nini kimetokea kwanza au
nani kamuumiza mwanaye.
Wanawake
wanaendeshwa na hisia kuliko akili, ndo maana wanaume hawatakiwi
kuwasikiliza wanawake hasa yakiwa yanahusika mambo ambayo yanagusa hisia
zao na moyo wao, hivyo hisia za wanawake hufunika akili yake na bila
kujijua anajikuta anafanya maamuzi ya kihisia kwanza na kuacha maamuzi
ambayo yanaumuhimu zaidi, ndo maana ukimuuliza mwanamke anapenda
mwanaume wa aina gani, atakwambia anapenda mwanaume mpole, mwelewa,
aliyeelimika na anayejua kupenda, ila ukimpa muda na kuja kuangalia
mwanaume ambae atakuwa naye ni tofauti na maelelezo aliyoyatoa awali,
kwahiyo kiuhalisia wanawake hufanya tofauti kabisa na mambo waliokuwa
wakisema sababu wanaendeshwa na hisia ambazo humletea fikra tofauti.
Ili
uweze kuwa na mafanikio kwenye utongozaji lazima uwe umeshayaelewa haya
na kuweka akilini matendo ya wanawake ambayo hayaendani kabisa na
maongezi yake na siku nyingine ukiwa umechanganyikiwa na kile mwanamke
anachokuambia, fikiria vitu vifuatavyo;
Wanawake wanafanana na wanaume kuliko unavyofikiri.
Jiweke katika utata alionao.
Jiulize ningefanya nini iwapo ungekuwa ni yeye na matarajio ni kwamba atafanya hicho hicho ambacho alichosema hafanyi.
Usije ukapumbazwa kwa maelezo yake ya kutumia hisia.
Matendo ndo yakuangalia zaidi kuliko maneno.
Ukishayaelewa
haya hakuna mwanamke tena wa kukusumbua na kama ni upande wautongozaji
itakusaidia kuwatongoza bila kuchanganywa na hisia zao maana kutokujua
jinsi akili zao zinavyofanya kazi ndicho kinachokusababishia kuumizwa na
kuchanganywa akili.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Filed Under:
mapenzi
Thursday, 16 October 2014