Habari Kali
Loading...

KITUO CHA REDIO CHAFUKUZA WAFANYAKAZI WOTE 47 NA KUAMUA KUCHEZA NYIMBO ZA BEYONCE MASAA 24

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Kituo cha redio cha huko Houston, Marekani kimewafukuza wafanyakazi wake wote 47 na kuamua kucheza nyimbo za Beyonce 24/7. 


News92 ilikuwa ni redio kwaajili ya habari peke yake. Uamuzi wa kubadilisha malengo ya kituo hicho umetokana na kituo hicho kukosa wasikilizaji. Uongozi unaamini kuwa kwa kupiga nyimbo za Beyonce wasikilizaji watavutiwa na kuiokoa redio hiyo iliyopo kwenye mawe. 

Kituo hicho kitaendelea kucheza nyimbo za Beyonce kwa saa 24 hadi pale itakapotangaza muelekeo wake mpya.
  

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top