Habari Kali
Loading...

KANYE WEST KUMTENGENEZEA MWANAE PETE YA NDOA....!!

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Katika kuonesha ni kiasi gani anampenda mwanae, North, Kanye West amepanga kumtengenezea pete ya thamani ya kumvisha kwenye kidole cha ndoa, chanda. 

Kwa mujibu wa mtandao wa HollywoodLife, Kanye anataka kuwa mtu wa kwanza kumvisha pete hiyo kidoleni kwake. Kanye atamvisha mwanae pete hiyo ya almasi wakati huu akiwa na mwaka mmoja tu. 

“Yupo kwenye mchakato wa kutengenezea pete ya almasi ya aina yake kwaajili ya kuvaa kwenye kidole chake cha ndoa,” chanzo kimoja kimeuambia mtandao huo. “Muite chizi, lakini hivyo ndivyo anavyotaka kufanya.” 

“Hajali, atakuwa mwanaume wa kwanza kumvisha pete binti yake. Anasubiri mpaka mwanae awe mkubwa kidogo na atamwambia Lorraine kuitengeneza iendee kidole chake.” 

Lorraine ni Lorraine Schwartz, mtengezaji wa vidani aliyetengeneza pete ya ndoa ya Kim Kardashian.


-Udakumagazine

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top