Msanii wa muziki kutoka nchini Tanzania, Nasib Abdul aka Diamond
Platnumz ndiye msanii wa mwezi huu wa kituo cha MTV Base. Katika kampeni
hiyo iitwayo #AoTM msanii mmoja hufanyiwa kampeni ya mwezi mzima kwenye
kituo hicho. Mwezi uliopita alikuwa Casper Nyovest wa Afrika Kusini.

Diamond akiwa kwenye mtandao wa MTV Base
Hivi karibuni MTV Base walizunguka kumrekodi Diamond kwenye mitaa mbalimbali ya jiji la Johannesburg, Afrika Kusini kama sehemu ya kampeni hiyo.
Diamond akiwa kwenye mtandao wa MTV Base
Hivi karibuni MTV Base walizunguka kumrekodi Diamond kwenye mitaa mbalimbali ya jiji la Johannesburg, Afrika Kusini kama sehemu ya kampeni hiyo.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

