Habari Kali
Loading...

AMINI APATA PIGO LA TATU NDANI YA MWEZI MMOJA

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya
STAA wa Bongo Fleva, Amini Mwinyimkuu amepata pigo lingine la tatu kwa kufiwa na dada yake aitwaye Doto nyumbani kwao, Mwananyamala jijini Dar.
Staa wa Bongo Fleva, Amini Mwinyimkuu.
Akizungumza na paparazi wetu kwa masikitiko, Amini alisema ameumia sana kupatwa na msiba huo wa tatu lakini anamshukuru Mungu kwani hawezi kuikosoa kazi yake.“Siwezi kuingilia kazi ya Mungu, hawa ndugu zangu wametangulia mbele ya haki nawaombea kwani Mwenyezi Mungu hapangiwi,” alisema Amini.
Amini hivi karibuni alifiwa na kaka yake (Costantine) na baada ya siku chache alifiwa na kaka yake mwingine aliyeitwa Kipara. Marehemu Doto alitarajiwa kuzikwa jana kwenye Makaburi ya Mwananyamala.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top