BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Wanawake
wenye kiwango kikubwa cha vichocheo (homoni) aina ya oestradiol, wana
mwamko mkubwa wa kushiriki tendo la ndoa kuliko wanawake wenzao wenye
kiwango kidogo cha vichocheo hivyo.Ni ajabu, wala si jambo la kawaida
kwa wanawake walio wengi kujikuta katika matamanio, kiasi cha kujikuta
wakilazimika kushiriki tendo la ndoa.Hata hivyo, homoni kadhaa zilizoko
katika miili ya wengine zinawachochea kujitumbukiza kwenye tendo
hilo.Utafiti wa baadhi ya wanasayansi umeonyesha kuwa baadhi yao wana
kiwango kikubwa cha vichocheo mwili kinachoweza kushawishika kuwa na
mpenzi wa nje au kumchoka haraka mwenza wake baada ya kuishi naye kwa
kipindi fulani.

Wanasayansi
hao wamefanya uchunguzi na kugundua kuwa, wanawake wenye kiwango
kikubwa cha vichocheo (homoni) aina ya oestradiol, wana mwamko mkubwa wa
kushiriki tendo la ndoa kuliko wanawake wenzao wenye kiwango kidogo cha
vichocheo hivyo.
Vichocheo hivi aina ya oestradiol (oestrogen)
ni vile vinavyotumika katika kuzalisha mayai ya uzazi wa mwanamke. Pia,
vichocheo hivyo ni vile ambavyo humpa mwanamke mwamko wa tendo la ndoa.
Wanasayansi
wa Chuo Kikuu cha Saikolojia nchini Uingereza walifanya utafiti kuhusu
uhusiano uliopo kati ya vichocheo na tabia za watu na kubaini kuwa
kiwango cha vichocheo huweza kuelezea tabia ya mwanamke ikiwamo
kumsababisha kuwa na tamaa za mwili zaidi tofauti na wanawake wengine.
Wanasayansi
hao, Dk Kristina Durante na Norm Li walitoa ushahidi wa utafiti wao
kuwa mfumo wa kisaikolojia unachangia kwa kiasi kikubwa katika mwamko wa
tendo la ndoa na tabia kwa wanawake.
Wanawake 52 wenye umri wa
kati ya miaka 17 na 30, wote wanafunzi wa vyuo vikuu walishiriki katika
utafiti huo na kuambiwa wasitumie njia yeyote ya uzazi wa mpango kwa
sababu njia hizo huongeza vichocheo mwilini.
Kwa upande wao,
watafiti walipima kiwango cha homoni hizo kwa wanawake wote na walipewa
maswali ya kujibu yaliyohusu mienendo yao ya kimapenzi, kutosheka na
wenzao pamoja na uwezo wa kuvumilia kutofanya tendo la ndoa kwa kipindi
fulani.
Pia, washiriki hao walitakiwa kujibu maswali maalumu ambayo yanapima uwezekano wa washiriki hao kuwasaliti wenzao wao.
Mwishowe,
watafiti hao walibaini kuwa, wanawake wenye kiwango kikubwa cha
vichocheo vya oestradiol wanapenda utani, wanapenda kupigana busu na ni
rahisi kupata mwenza mpya wa kudumu wakati wowote.
“Matokeo yetu
yalibaini kuwa, wanawake wenye kiwango kikubwa cha rutuba za uzazi
hawatosheki na mwenza mmoja hasa waliyeishi naye kwa muda mrefu. Wana
uwezo wa kutafuta mwenza mwingine anayewatosheleza,” alieleza Dk
Durante.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Filed Under:
mapenzi
Thursday, 11 September 2014