Msanii wa Bongo Flava Meninah la Divah ametajwa kuwa katika mahusiano
ya kisirisiri na Diamond Platnumz taarifa hizo zimevuja kupitia kwa
marafiki wa karibu na Meninah wamedai kuwa wawili hao walikutanishwa na
moja kati ya ndugu wa Diamond na hivi karibuni katika kipindi cha Tv
anacho host Meninah eti Diamond aliwahi kumkataza Meninah asishiriki kwa
sababu atakutana na wanaume wengine lakini dada wa diamond Queen
Darlin ambaye pia yupo katika kipindi hiko cha Tv akaahidi kumlinda
wifi yake mwanzo mwisho ndio mzee akatoa ruhusa, sikiliza Interview
kati Soudy Brown na Menina kama ilivyokua ndani You Heard ya XXL leoBONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

