Habari Kali
Loading...

HIKI NDICHO KILICHOMKUTA DIRECTOR NISHER MPAKA NOMA!

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Katika pitapita zangu leo Facebook nkakutana na post ya aliyekua muandaaji mwenza wa Nisher Director wa video za mziki hapa Bongo ikitoa ufafanuzi kuhusu alichokiandika Nisher katika ukurasa wake Facebook. Bamushka amesema kua alichokiandika Nisher ni uongo na huu ndo ukweli aliouandika Facebook

"NISHER WEWE HUKUNIFUNDISHA MIMI NNA ELIMU YANGU KUBWA TU YA PRODUCTION NA ULINIKUTA NAYO....FOR REAL IMESKITISHWA NA POST ZAKO ZOTE MBILI NILIAMUWA KUKAA KIMYA COZ MIMI NI MTU MZIMA NA NAJUWA NINI NAFANYA NA NAJUWA UWEZO WAKO WA KUFIKIRI UNAISHIA WAPI ... BUT NAONA STIL UNAENDELEA KUDANGANYA WATU KWA KUNICHAFUWA MIMI NIONEKANE NIME KU SNITCH...UKWELI NI KWAMBA SIWEZI FANYA KAZI ISIYO NA FAIDA MIMI NI MTU MZIMA NAHITAJI KU RUN MAISHA YANGU KUPITIA KILE NNACHOKIFANYA ASA KAMA HAKUNA MASLAHI KWANINI NIENDELEE KUWA UNDER YOU? ( sifanyi kazi isiyo na faida ) .... THEN VIDEI ZOTE ULIZO ZITAJA HAPO JUU WEWE HUKUHUSIKA HATA KIDOGO YANI HATA KIDOGO HIZO VIDEO HAZIPO UNDER N.E HIZO ZIPO UNDER ME...MPAKA ZINAFIKA INTERNATIONAL LEVEL U JUST KNOW NOTHING ABOUT IT IS JUT MY OWN POWER...ZINGAITIA HAKUNA ULICHONIFUNDISHA BUT TUMEFUNDISHANA...WEWE HUJANIFUNDISHA WAPO WALIONIFUNDISHA NA WAMEKAA KIMYA... KAMA UMENIFUNDISHA HEBU FANANISHA VIDEO YA CHIN BINZ - LET ME KNOW NA YA LUCCI - SUMU ZOTE NI WHITE SCREEN NA TULITOA AT THE SAME TIME...HIVI NI VIDEO YANGU GANI WE USHAWAHI KUJA LOCATION KAZI YA HIZO ULIZOZITAJA HAPO JUU?... ME SIWEZI LOST A DAYS KUFANYA KAZI ISYONIINGIZIA PESA COZ MIMI SIO KAMA WEWE UKIRUDI HOME UNAKUTA FOOD ON THE TABLE..MEN I DO MY OWN HUSTLING NAHITAJI FIGHT FOR MA OWN...SOO MIMI KUACHA KUFANYA KAZI NA WEWE ISIKUUME KIASI CHA KUKESHA UNA POST POST SHIT ABOUT ME...UKWELI NI KWAMBA NAHITAJI FANYA MISHE ZANGU AU WEWE HUPENDI MIMI NIKIFANIKIWA ? SOMETIMES ETI UNANIKATAZA NISIPIGE STORY NA Hanscana dE Lavenche HIVI WE UNAJUWA ME NA HUYU JAMAA TUMETOKA FAR KIASI GANI ?...MEN ME SIO DIRECTOR WA FACEBOOK WALA INSTAGRAM KAMA WEWE...NYAMAZA LET WORK MAKE NOISE...KUWA MWANAUME SOMETIMES ... AM DONE ... 1 COPPY TO DIRECTOR HANSCANA Minzi Mims Jozeey Joseph Adam Shani Shine Ande John Cyrill Kamikaze G-The Navigator George Laurent F J Kimbatu Jimmy Cooge Guru G-lover NA WOTE WANAOTUFAHAMU SINCE DAY 1"

Nisher nae aliandika kua "Nisher Entertainment Inasikitika kuwataarifu Wadau wake wote na Mashabiki wote wa kazi zetu Kua Khalfani Bamushka hatakua Akifanya kazi pamoja nasi Tena!
Ni kama mwaka na Nusu sasa NISHER (C.E.O and President wa NISHER ENTERTAINMENT) Ali-gundua Kipaji Cha khalfani kwa njia ya facebook.. na baada ya hapo walikutana na kuanza kufanya kazi pamoja... Khalfani amejifunza Mengi Kuhusu Video Production Kutoka kwa Mshindi wa Tuzo Za watu 2014 Director Nisher, katika kipindi chote alichokaa kwa karibu sana na Nisher. Khalfani aliweza pia kupata nafasi ya kufanya videos alizozioongoza yeye mwenyewe Chini ya Nisher Entertainment kama "LET ME KNOW" ya Chin Bees iliyo pata kuchezwa Channel O...., pamoja na Video Mpya Ya Baby Madaha, Pamoja na Kazi Nyinginezo Nyingi ambazo zilimwezesha Kupata Jina na Kujiweka vizuri zaidi katika Uongozaji na Uandaaji wa Videos.
Nisher Entertainment Pamoja na C.E.O. wake Tunatambua Juhudi na Bidii aliyokua nayo Khalfani na Tunamshukuru Kwa Mchango wake Katika Kufanikisha Shughuli zote za Nisher Entertainment.

Mwisho....Nisher Entertainment inaendelea kufanya Msako wa Vipaji mbali mbali ili kuwapa Ajira vijana wetu kupitia Mitandao ya kijamii... hivyo wadau wote na wote wale wanao penda kazi zao zionekane Msiache kuzituma kwenye inbox yetu....Tunawashukuru kwa kuendelea ku-Support kazi zetu! Ahsanteni.

NISHER ENTERTAINMENT"

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top