Habari Kali
Loading...

Musoti atoa sifa za Phiri dhidi ya Loga

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Beki wa kati wa Simba, Mkenya, Donald Musoti.
Na Hans Mloli
BEKI wa kati wa Simba, Mkenya, Donald Musoti, ametamka wazi kwamba, kocha wake mpya wa sasa, Mzambia Patrick Phiri, yupo ‘soft’, kitu ambacho alikiri kuwa ni tofauti sana na kocha wake wa zamani, Zdravko Logarusic, raia wa Croatia.
Phiri ameanza kazi rasmi ya kuinoa Simba, juzi Alhamisi, baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia klabu hiyo kuchukua mikoba ya Loga aliyefutwa kazi klabuni hapo Jumapili ya wiki iliyopita.
Musoti alifafanua kauli yake hiyo ya soft kwamba ni kocha ambaye ni mpole na si mkali wakati wa utendaji wake wa kazi katika kuhakikisha mchezaji anayaelewa mafunzo yake, kitu ambacho kimemfanya amkubali zaidi kocha huyo tofauti na Loga aliyekuwa anatumia ukali zaidi katika kuelekeza.
“Unajua huyu Phiri yupo soft sana lakini yule Loga alikuwa ‘hard’ mno katika ufundishaji wake, kila kocha ana staili yake na ujanja wake wakati wa ufundishaji, lakini nikwambie tu ukweli kwamba nimefurahishwa sana na ufundishaji wa Phiri.
“Loga niliwahi kuwa naye Gor Mahia, namfahamu lakini Phiri ndiyo kwanza nimekutana naye Simba lakini nimekuwa nikimuona na kupata taarifa zake kutoka kwa wachezaji mbalimbali aliowahi kuwafundisha hapa Afrika Mashariki, ni kocha mzuri kwa kweli,” alisema Musoti.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top