Habari Kali
Loading...

Casillas ailiza Mtibwa

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
kipa mpya wa Simba,Hussein Sharrif  ‘Casillas’.
Na Nicodemus Jonas
TIMU ya Mtibwa Sugar, imesema kuwa inahaha kukimbizana na muda wa usajili ambao unatarajia kufungwa Agosti 17, ambapo inasaka mchezaji mmoja tu, nafasi ya kipa ili kufunga usajili.
Ofisa Habari wa Mtibwa, Thobias Kifaru, ameliambia Championi Jumamosi kuwa, pamoja na kwamba walikuwa katika mipango ya kuongeza nyota wengine katika nafasi nyingine, lakini pendeleo zaidi ni pengo la kipa Hussein Sharrif  ‘Casillas’ aliyetimkia Simba, hivi karibuni.
“Kwa sasa tunafanya juu chini kuhakikisha tunapata kipa mwenye uzoefu, kwa ajili ya kuzipa pengo la Casillas. Wapo wachezaji katika nafasi nyingine tunaweza kuwaongeza, lakini cha kwanza ni nafasi ya mlinda mlango,” alisema Kifaru.
Kifaru alisema kuwa iwapo muda utaruhusu, wanahitaji viungo wawili pamoja na mshambuliaji mmoja, baada ya kuondoka kwa Juma Luizio.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top