Diamond amesema kuwa hana mpango wa kuoa kwasasa kwasababu suala hilo linaweza kumshusha kimuziki kwa kupoteza mvuto alionao sasa. Akizungumza na gazeti moja la Udaku hivi karibuni, Diamond alisema:
"Unajua unaweza kuona kama vile nazungumza kitu cha utani lakini ndiyo ukweli wenyewe.
“Kuna
wanamuziki wengi walikuwa kwenye peak (kileleni) lakini walipooa tu
‘kiki’ yao ilishuka ghafla katika muziki na wengine wamepotea kabisa
"Ukifuatilia kwa umakini wapo mastaa wengi duniani ambao umri umekwenda sana lakini hawajaoa.
"Hata hapa nyumbani kuna mifano hai. Nadhani hofu yao ni kuona kuwa wakifanya hivyo watashuka kimuziki,” alisema Diamond.
Diamond alisema hayo huku mastaa wengine wa ndani na nje wakiwa pia na hofu ya kuoa kuogopa kushuka kileleni.
Mfano wasanii wengi wa kike Bollywood ni vigumu kuolewa mapema kwasababu inaaminika wanapoteza mvuto sokoni hivyo msanii anajibidiisha kwa miaka zaidi ya 10 akishafika kileleni na kukaa ,muda mrefu anapoanza kushuka mara nyingi akiwa miaka ya 35 ndiyo huamua kuolewa huku wengine mpaka sasa wakiwa na miaka zaidi ya 40 lakini bado hawana watoto wala ndoa.
Hata hivyo kwa wasanii wa kiume Bollywood huwa kawaida kuoa na sio rahisi tatizo hilo kuwaathiri sokoni kama ilivyo kwa wasichana.
Lakini kwa upande mwingine wachache sana huamua kuingia kwenye ndoa na kuendelea kufanya vizuri sokoni.
Suala hili lipo hata Hollywood kwa hiyo Diamond pengine amealisoma vizuri soko la kazi zake.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >