KABANG! Picha
za staa wa sinema na Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole Kiuno’
zinazomuonesha live akiwa chumbani tena kitandani kimahaba na mwandani
wake, Nuh Mziwanda zimevuja, Risasi Jumammosi linazo kwenye makabrasha
yake.
Kwa
mujibu wa chanzo makini ambacho ni mtu wa karibu wa Shilole, picha hizo
walijipiga wenyewe wakiwa kitandani nyumbani kwa mwanadada huyo,
Kinondoni jijini Dar.
Chanzo
hicho kilidai kwamba picha hizo walijipiga baada ya kumalizika kwa
Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwani kabla ya hapo wasingefanya
hivyo.
Katika
picha hizo zinazowaonesha wawili hao wakiwa katika mahaba niue, Shilole
anaonekana akiwa amemlalia Mziwanda ambaye naye amejiachia vya kutosha.
Habari
za ndani zinadai kwamba mmoja wa watu wa karibu alishika simu ya
Shilole kisha akajifowadia picha hizo ndiyo chanzo cha kumfikia sosi
wetu huyo.
Baada
ya kuzidaka picha hizo, gazeti hili lilimtafuta Shilole ambaye kwa sasa
anakimbiza na ngoma yake mpya ya Namchukua ambapo alipopatikana kwa
njia ya simu alisomewa mashitaka yake ndipo akafunguka namna
alivyochezewa na mtu wa karibu yake.
kimahaba
na mwandani wake, Nuh Mziwanda“Kweli hizo picha ni zangu na Nuh
(Mziwanda), tulijipiga kwa ajili ya kumbukumbu na tulikuwa na muda mrefu
hatujiachia si unajua tena Mwezi Mtukufu?
“Unajua
simu yangu haina password na nina watu wengi wa karibu so nahisi ndiyo
wamezivujisha na nikimjua namtoa kabisa kwenye network yangu maana siku
nyingine anaweza kunifanyia jambo kubwa baya.”
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

