STAA wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda ‘Bela’ na mpenzi wake wa kitambo, Karama Omari ‘Luten’ wanatarajia kufunga ndoa Novemba, mwaka huu.
Akizungumza na mwanahabari wetu, Isabela
ambaye anatamba na wimbo wa Taratibu alisema ana furaha isiyo na kifani
kwani kwa mara ya kwanza tangu aanze uhusiano wa kimapenzi na Karama
amemtamkia suala la ndoa.
Msanii wa Bongo Fleva Karama Omari ‘Luten’ .
“Yaani nina furaha sana kwani Karama hakuwahi kunitamkia kwamba
atanioa lakini hivi karibuni ametamka tena mbele za watu naamini ndoa
yetu itakuwa ya baraka kwani mama Rolaa amejitolea kutufanyia sherehe
ambapo ameahidi kutoa milioni tano, bado marafiki zake,” alisema Bela.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

