BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Meneja
wa Diamond, Babu Tale amezungumzia kile kile kinachoelezwa kuwa ni beef
kali ama ushindani mkubwa kati ya Diamond na Ali Kiba, moja kati ya
mada ambazo zinatengeneza mijadal mingi sana kwenye mitandao ya kijamii.
Akizungumza
na Times Fm, Babu Tale amejibu swali la msikilizaji aliyetaka kufahamu
mtazamo wake kuhusu uwepo wa beef kati ya wasanii hao wawili.
“Mimi
sidhani kama Diamond na Ali Kiba wana beef, ni biashara…challenging.
Sijawahi kuona wanagombana katika maisha yangu. Watu wanaoandika nyuma
wanaandika kwa sababu wanaamua kuandika lakini mwisho wa siku Diamond na
Ali Kiba wote ni wanamuziki. Without challenge Diamond hawezi kuendelea
au Ali Kiba hawezi kuendelea.” Amesema Babu Tale.
Ameeleza kuwa hiyo kwake anaona challenge hiyo ni nzuri kibiashara na sio tatizo na kwamba likionekana ni tatizo watalitatua.
“Kama
unamfollow Davido na Wizkid. Kila anapopost Wizkid kwamba hapa nafanya
show hivi, Davido nae anamjibu kuwa angalia watu wamejaa huku hivi. Ni
biashara. Ugomvi wanagombania nini? Ali Kiba anakula kwale ana maisha
yake, Diamond anakula kwake na ana maisha yake.” Ameongeza Babu Tale.
Alipoulizwa
kuhusu ujio wa Ali Kiba kuchukuliwa kama ndio sehemu ya mapinduzi dhidi
ya utawala wa Diamond, Babu Tale aliipinga kauli hiyo.
“Huwezi
kusema Ali Kiba anakuja, Ali Kiba yupo na alikuwepo. Huwezi kumuambia
anakuja unamdhalilisha, Ali Kiba yupo alikuwepo na ana uwezo wake.
Anafahamu base yake. Huwezi kumwambia anakuja, anakuja ni msanii
mpya…Raymond wa Tip Top anakuja sio Ali Kiba. Usiwe na mind kuwa Ali
Kiba hayupo kwenye Game, yupo.” Ameongeza kuwa hajafirikia kuhusu suala la Ali Kiba kumpindua Diamond.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI