Muigizaji wa kike wa Nigeria mwenye umaarufu mkubwa usioambatana na 'skendo', Omotola ameeleza sababu zinazomfanya asiwe na habari chafu kwenye vyombo vya habari.
Kikubwa alichokieleza ni uamuzi wa kuishi maisha sahihi na kwamba inaanza na tabia halisi ya mtu mwenyewe.
“Daima watu wataanza kufikiria vitu kuhusu wewe na inaweza kuwa
inaumiza, hasa pale unapochagua kuishi maisha sahihi. Sitaki kusikika
kama mtakatifu kuliko mtu yeyote, lakini ninafanya kazi kwa bidii
kuliweka jina langu (brand) mbali na scandals. Nimeshapigana. Na
imenibidi, sitakubali kuona unanidhalilisha mbele ya kila mtu.”
Amesema mara nyingi wengine humsogeza kwenye maisha ya scandal lakini anajikita kwenye mlengo wake.
“Siku zote nasimama na kusema, ‘hey! Hiki ndicho ninachokisimamia na kuna muda wanabadilika na kuniomba radhi.” Ameeleza.
“For
heaven’s sake, I am responsible for the actions and decisions that I
take…. I believe that for you to be great in anything, you have to be
someone anyone can trust.you believe in. It stems from your moral”
Maneno na mwenendo wa muigizaji huyu yanapaswa kuwa sehemu ya
fundisho kwa baadhi ya waigizaji nchini wanaoamini kuwa scandals ni
sehemu ya kusogeza mafanikio yao.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >


