DADA mmoja Fatuma Hussein (30), anaomba msaada kwa Watanzania baada ya kutelekezwa na mzazi mwenzake.Akizungumza na mwandishi wetu maeneo ya Magomeni Makanya,
Dar dada huyo anadai kuwa aliishi na mzazi mwenzie kwa miezi miwili kama mke na mume na ndipo akapata ujauzito,wakati huo alishajitambulisha nyumbani kwao na kutoa posa baada ya kujifungua watoto njiti mapacha wakiwa na miezi saba.
Anadai mzazi mwenzake aitwaye Mussa Unguja kamtelekaza, akaongeza kuwa huwa haji kuwaona watoto. “Nikimpigia simu hapokei lakini siku moja aliipokea na akasema hana shida na watoto wangu, toka siku hiyo sijazungumza naye.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

